Urusi yafanya shambulio la tisa la makombora ya masafa marefu ndani ya Ukraine mwezi huu

Mji mkuu wa Ukraine unakabiliwa na mashambulio ya anga ya urusi, amesema meya ya kyiv, likiwa ni shambulio la tisa mwezi huu.

Moja kwa moja

Hujambo na karibu kwa matangazo yetu ya mubashara ya leo Alhamisi tarehe 18.05.2023