Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.

Bofya kuelekea tovuti kuu

Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data

Malawi yatangaza mafuriko kuwa janga huku watu 200 wakifariki

Takriban watu 190 sasa wamethibitishwa kufariki nchini Malawi baada ya kimbunga Freddy kukumba eneo la kusini mwa Afrika kwa mara ya pili ndani ya mwezi mmoja.

Moja kwa moja

hujambo na karibu kwa matangazo yetu ya moja kwa moja ya leo tarehe 14.03.2023