Wanajeshi wa Urusi waua watu 10 katika foleni ya kutafuta mkate-Mwendesha Mashtaka

Aliwataka wanasiasa wa Marekani waliokusanyika kukumbuka kushambuliwa siku za nyuma - katika Bandari ya Pearl mwaka 1941 na tarehe 11 Septemba 2001 - akisema Waukraine walikuwa wakipitia jambo hilo hilo kila siku.

Moja kwa moja

Natumai hujambo. Tunakupeleka moja kwa moja katika matukio tofauti duniani