Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.

Bofya kuelekea tovuti kuu

Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data

BBI ilikiuka katiba-Mahakama ya Rufaa ya Kenya yaamuru

Jopo la majaji saba limeamuru kwamba BBI na utaratibu uliotumiwa kuiunda ulikiuka katiba na sheria za nchi hiyo.

Moja kwa moja

Asha Juma

Hujambo na karibu katika matangazo yetu ya moja kwa moja 20.08.2021