Umoja wa Mataifa waitaka Tanzania kuchunguza mauaji ya siku ya uchaguzi

Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa Haki za binadamu ameitaka Tanzania kuchunguza madai haya mazito ya ukiukaji wa haki za binadamu, kikamilifu na kwa uwazi, na kuwawajibisha wale waliohusika.

Muhtasari

Moja kwa moja

Asha Juma & Rashid Abdallah

Hujambo na karibu katika matangazo yetu mubashara. Tarehe ni 11/11/2025.