Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Umoja wa Mataifa waitaka Tanzania kuchunguza mauaji ya siku ya uchaguzi
Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa Haki za binadamu ameitaka Tanzania kuchunguza madai haya mazito ya ukiukaji wa haki za binadamu, kikamilifu na kwa uwazi, na kuwawajibisha wale waliohusika.
Muhtasari
- Meya wa Instambul anakabiliwa na makosa anayoweza kuhukumiwa zaidi ya miaka 2,000 jela
- Muswada unaopendekeza hukumu ya kifo wasomwa katika Bunge la Israel
- Umoja wa Mataifa waitaka Tanzania kuchunguza mauaji ya siku ya uchaguzi
- Lamine Yamal ameondolewa kwenye kikosi cha Uhispania
- Vitu vya kale vya Ufalme wa Asante wa Ghana vyarudishwa kutoka Uingereza na Afrika Kusini
- Serikali ya Uingereza kukomesha majaribio ya kisayansi kupitia wanyama
- Rais wa zamani wa Ufaransa Sarkozy aachiliwa kutoka gerezani baada ya wiki tatu
- Sita wafariki baada ya kimbunga cha pili ndani ya wiki moja kuikumba Ufilipino
- Watu 12 wameuawa katika mlipuko wa kujitoa muhanga nje ya mahakama Pakistan
- Wahamiaji wa Warohingya waliofariki baada ya boti kupinduka wafikia 21
- Watu wanane wauawa baada ya gari kulipuka India
- Zungu Spika Mpya wa Bunge la Tanzania
- Makumi ya wafungwa wapatikana wamenyongwa katika gereza la Ecuador
- 'Tulizuia njama ya Ukraine na Uingereza kuiba ndege ya MiG-31' - Urusi
- Nyuki mpya apewa jina 'Shetani' kwa muonekano wa pembe zake
- Seneti Marekani yapitisha mswada wa ufadhili kumaliza mkwamo wa shughuli za serikali
- Mwandishi habari wa Uingereza kuachiliwa kutoka kizuizini Marekani
- Mtoto wa mwisho wa Gaddafi aliachiliwa baada ya miaka 10 kizuizini Lebanon
- Syria kujiunga na muungano unaoongozwa na Marekani
- Trump atishia kuchukua hatua za kisheria dhidi ya BBC
Moja kwa moja
Asha Juma & Rashid Abdallah