Watu 135 wamefariki katika mkanyagano Guinea kwa mujibu wa mashirika ya haki za binadamu

Makundi hayo yanasema makadirio hayo yanatokana na taarifa kutoka hospitali, makaburi, mashahidi katika uwanja huo, familia za wahanga, misikiti, makanisa na vyombo vya habari vya ndani.

Muhtasari

Moja kwa moja

Na Asha Juma, Mariam Mjahid & Rashid Abdallah

Natumai umzima wa afya msomaji wetu. Karibu katika matangazo ya moja kwa moja ikiwa ni tarehe 04/12/2024.