Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Watu 135 wamefariki katika mkanyagano Guinea kwa mujibu wa mashirika ya haki za binadamu
Makundi hayo yanasema makadirio hayo yanatokana na taarifa kutoka hospitali, makaburi, mashahidi katika uwanja huo, familia za wahanga, misikiti, makanisa na vyombo vya habari vya ndani.
Muhtasari
- Sanamu la aliyekuwa mkuu wa Wagner lazinduliwa Afrika ya Kati
- Nani kuibuka mshindi kati ya Arsenal na Man United leo usiku?
- Namibia yamchagua rais wa kwanza mwanamke
- Watu nane mbaroni Tanzania kwa jaribio la utekaji
- Watu 135 wamefariki katika mkanyagano Guinea kwa mujibu wa mashirika ya haki za binadamu
- Boti ya Ufilipino yagongwa na Walinzi wa Pwani ya China
- Raila kuchuana na wapinzani wawili kwenye mdahalo wa kuwania uenyekiti wa Kamisheni ya AU
- Anayetafutwa na FBI afikishwa mahakamani Uingereza
- Mwandishi maarufu wa riwaya wa China afariki kwa kujiua
- Mamake Eminem, Debbie Nelson, afariki akiwa na umri wa miaka 69
- Mshukiwa wa mauaji ya 1977 arudishwa Australia
- Muuaji wa watoto wachanga ahojiwa tena katika uchunguzi mpya
- Diddy ashtakiwa kwa kumning’iniza mwanamke kwenye roshani
- Mwanamke atumbukia kwenye shimoni refu akimtafuta paka wake
- Rais wa Korea Kusini Yoon Suk Yeol akabiliwa na hoja ya kutokuwa na imani naye
- Wanawake wa Afghanistan 'wapigwa marufuku kufanya kozi za wakunga'
- Madaktari nchini Kenya watishia kugoma wakilalamikia hadaa za serikali
- Trump atishia Hamas akiwaonya kuwa 'watalipia vikali' juu ya mateka
- Rais wa Korea Kusini aondoa sheria ya kijeshi baada ya wabunge kupiga kura kuizuia
Moja kwa moja
Na Asha Juma, Mariam Mjahid & Rashid Abdallah