Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.

Bofya kuelekea tovuti kuu

Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data

Urusi na Ukraine zaanza duru ya pili ya mazungumzo ya kumaliza vita

Wapatanishi wa Ukraine na Urusi wameanza duru ya pili ya mazungumzo yanayosimamiwa na Marekani siku ya Jumatano huko Abu Dhabi, wakiendeleza juhudi za kumaliza mzozo mkubwa zaidi barani Ulaya tangu Vita vya Pili vya Dunia.

Muhtasari

Moja kwa moja

Asha Juma, Beldeen Waliaula & Rashid Abdallah

Ni wakati mwingine tunapokutana tena katika matangazo yetu mubashara. Tarehe ni 04/02/2026. Hujambo msomaji wetu na Karibu.