‘Meli iliyokamatwa na Cocaine nchini El Salvador ilisajiliwa Zanzibar’

Msigwa amesema kwasababu imevunja taratibu, serikali ya Zanzibar tayari imekwishaanza kuchukua hatua na baadaye watatoa taarifa rasmi.

Muhtasari

Moja kwa moja

Na Mariam mjahid

Hujambo na karibu katika matangazo yetu ya moja kwa moja ya tarehe 26/02/2026. Nakusihi ufuatilie hadi tamati.