Trump atishia kushambulia kituo cha Nyuklia cha Iran chini ya Mlima Kalang
Rais wa Marekani Donald Trump amesema nchi yake huenda ikalenga hivi karibuni kituo cha chini ya ardhi cha Iran kilichopo chini ya Mlima Kalang, huku akisisitiza kuwa lengo ni nyenzo za nyuklia na si mitambo ya kurutubisha urani pekee.
Muhtasari
- Kiongozi wa upinzani Ghana afungwa miaka 20 kwa uchimbaji haramu
- Iran yautaka ulimwengu kutokubali mashambulizi dhidi ya vituo vyake vya nyuklia
- Fifa yaanzisha uchunguzi dhidi ya Argentina baada ya fainali ya Kombe la Dunia
- Mashambulizi ya Iran yamejeruhi takriban wanajeshi 100 ndani ya wiki mbili - Pentagon
- Mlipuko wa Ebola waenea maeneo mapya mashariki mwa DR Congo
- Qatar yaishtaki Iran UN kwa kuharibu miundombinu yake
- Urusi yasema mashambulizi ya Ukraine yaua raia tisa
- Marekani yashutumu China kwa kumjeruhi baharia wa Ufilipino
- Meli ya kivita ya Urusi yafanya majaribio ya makombora karibu na pwani ya Uingereza
- Uganda imetangaza kanuni mpya kwa mabasi ya shule baada ya vifo vya wanafunzi
- Trump aitoza Canada ushuru wa asilimia 50, Carney aahidi kuimarisha mazungumzo ya biashara
- IRGC inasema iliishambulia na kuharibu ndege ya Marekani aina ya F-15 Jordan
- Mahakama kutoa hukumu kuhusu kesi ya biashara ya watoto wachanga Indonesia
- CBS: Pentagon yaripoti karibu wanajeshi 100 wa Marekani wamejeruhiwa katika mashambulizi ya Iran ndani ya wiki mbili zilizopita
- Rais Samia azindua ujenzi wa reli ya kisasa Tabora–Kigoma, mradi wa dola bilioni 2.4
- Kiongozi sugu wa genge la dawa za kulevya Ismael Zambada ahukumiwa kifungo cha maisha jela nchini Marekani
- Marekani yafanya mashambulizi mapya dhidi ya Iran, Trump aonya kuhusu kulipiza kisasi kufuatia vifo vya wanajeshi




















