Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.

Bofya kuelekea tovuti kuu

Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data

Trump atishia kushambulia kituo cha Nyuklia cha Iran chini ya Mlima Kalang

Rais wa Marekani Donald Trump amesema nchi yake huenda ikalenga hivi karibuni kituo cha chini ya ardhi cha Iran kilichopo chini ya Mlima Kalang, huku akisisitiza kuwa lengo ni nyenzo za nyuklia na si mitambo ya kurutubisha urani pekee.