'Hakuna dalili za yeyote aliye hai' katika eneo la ajali ya helikopta ya Raisi - TV ya serikali
"Hakuna dalili" za yeyote aliye hai katika helikopta iliyombeba Rais Ebrahim Raisi, TV ya serikali inasema.
Shirika la habari la Reuters pia limeripoti kuwa helikopta hiyo "iliungua kabisa" katika ajali hiyo, ikimnukuu afisa wa Iran.

