Wanahabari watano kati ya 20 wauawa katika shambulizi la Israel hospitalini - maafisa wa Gaza

Jeshi la Israel linasema lilifanya shambulizi katika eneo la Hospitali ya Nasser na "inajutia madhara yoyote kwa watu wasio husika na vita na kuwa hawalengi waandishi wa habari".

Muhtasari

Moja kwa moja

Na Mariam Mjahid & Asha Juma

Hujambo na natumai umzima karibu katika matangazo yetu ya moja kwa moja.Tuandamane hadi tamati.