Iran yaishambulia Israel kwa makombora

Katika taarifa ya video, msemaji wa IDF Daniel Hagari anawaambia watu wafikie eneo lililo salama zaidi katika maeneo yao na kusubiri maagizo zaidi.

Muhtasari

  • Mwanamke wa China akamatwa Ujerumani kwa tuhuma za ujasusi
  • Iran inajiandaa kuishambulia Israel kwa makombora - Marekani
  • Kwa sasa hatupigani moja kwa moja nchini Lebanon - IDF
  • Seneta wa Kenya awasilisha hoja ya kujadili mienendo ya Rais
  • Kenya: Wabunge waanza mchakato wa kumwondoa naibu rais afisini
  • Zaidi ya watoto 20 wahofiwa kufariki katika ajali ya basi nchini Thailand
  • Watu milioni moja wamekimbia makazi yao nchini Lebanon - Waziri Mkuu
  • 'Wakati mwingine nahisi heri tufe,' mtu aandika kwenye kikundi chetu cha WhatsApp
  • Je hii inaweza kuwa Gaza nyingine?, BBC yahoji jeshi la Israel
  • Israel yasema Hezbollah inawatumia raia kama 'ngao za binadamu'
  • Israel na Hezbollah: Uvamizi wa ardhini unakuja na hatari kwa Israel
  • Mbivu na mbichu kujulikana Kenya huku wabunge wakijiandaa kuwasilisha hoja ya kumtimua naibu rais
  • Tazama: Milipuko yaonekana kwenye mpaka wa lsrael na Lebanon
  • Nyota wa mpira wa kikapu katika NBA Dikembe Mutombo amefariki dunia kutokana na saratani ya ubongo akiwa na umri wa miaka 58
  • Israel yasema operesheni ya ardhini "yenye mipaka, na inayolenga" maeneo inaendelea nchini Lebanon

Moja kwa moja

Na Ambia Hirsi & Dinah Gahamanyi

Natumai hujambo, nikikukaribisha kwa matangazo haya ya mubashara ya Jumanne tarehe Mosi Oktoba kwa habari za kikanda na kimataifa. Shukran kwa kuwa nasi