Kamanda wa Hezbollah auawa katika shambulio la Israel - ripoti
Makumi ya watu wamejeruhiwa katika shambulizi la Israel dhidi ya mji mkuu wa Lebanon huku makabiliano ya mpakani yakiongezeka.
Muhtasari
- Magari ya kubebea wagonjwa yawasili katika hospitali za Beirut huku 59 wakijeruhiwa
- Israel inachunguza tukio la wanajeshi wake kurekodiwa wakitupa miili ya watu kutoka juu ya paa
- Kamanda wa Hezbollah auawa katika shambulizi la Israel – Ripoti
- Watu tisa wameuawa, 59 kujeruhiwa - wizara ya afya ya Lebanon
- Wapalestina 14 wauawa katika mashambulizi ya hivi punde zaidi ya Israel
- IDF yathibitisha roketi 140 zimerushwa kutoka Lebanon
- Moshi waongezeka karibu na kijiji cha kusini mwa Lebanon
- Hezbollah yaanzisha mashambulizi ya roketi kaskazini mwa Israel
- Makombora yarushwa Israel kutoka Lebanon, yasema IDF
- Rwanda yaanza kutoa chanjo ya Mpox
- India yakanusha ripoti ya uhamishaji wa silaha kwenda Ukraine ikisema "ni uvumi"
- Kiongozi wa Hezbollah aita mashambulizi 'tangazo la vita'
- IDF yasema shambulio lililenga 'kudunisha' uwezo wa Hezbollah
- Mwanaharakati aliyetekwa nyara Bob Njagi yuko hai - Rais wa wanasheria
- Stoltenberg: Kadiri NATO inavyoipa Ukraine silaha, ndivyo fursa ya kupatikana amani inavyoongezeka
- Israel yasema imepiga mitambo 100 ya makombora ya Hezbollah nchini Lebanon
- Zaidi ya watu 70,000 waliojitolea kuipigania Urusi wafa Ukraine
Moja kwa moja
Asha Juma, Ambia Hirsi & Lizzy Masinga
