Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.

Bofya kuelekea tovuti kuu

Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data

Kulenga miundombinu ya kiraia ni uhalifu wa kivita - Balozi wa Iran katika UN

Balozi huyo wa Iran pia alionya kwamba iwapo Umoja wa Mataifa na Baraza la Usalama havitachukua hatua madhubuti, "Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ina haki yake, kwa mujibu wa sheria za kimataifa, ya kuchukua hatua zote zinazohitajika ili kulinda mamlaka yake.

Muhtasari

Moja kwa moja

Na Asha Juma

Hujambo. Karibu katika matangazo yetu mubashara tarehe ni 18/07/2026.