Iran yafikiria njia ya mazungumzo ya nyuklia na Marekani kuzuia vita

Iran imesema iko katika hatua ya kutathmini masharti ya kurejea kwenye mazungumzo ya nyuklia na Marekani, huku pande zote zikionyesha utayari wa kufufua mazungumzo ya kidiplomasia katika mzozo uliodumu kwa miaka mingi.

Muhtasari

Moja kwa moja

Asha Juma, Beldeen Waliaula & Rashid Abdallah

Hujambo msomaji wetu. Karibu katika matangazo yetu mubashara ya tarehe 02/02/2026.