Trump asema Marekani na Iran zimefanya mazungumzo ya kuahirisha mashambulizi, Iran yakanusha
Wakati huohuo, Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza kuahirisha mashambulizi ya mitambo ya kuzalisha umeme.
Muhtasari
- Meli tatu zafuatiliwa zikivuka Mlango-Bahari wa Hormuz
- Spika wa Bunge la Iran akanusha mazungumzo na maafisa wa Marekani
- Trump aashiria Iran inaweza kukubali kuachana na mpango wa silaha za nyuklia
- Makadirio yaonyesha mashambulizi ya Iran yalisababisha hasara ya dola milioni 800 kwa kambi za Marekani
- Misri yalaani mashambulizi ya Israel dhidi ya miundombinu ya Lebanon
- Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran: Hakuna mazungumzo kati ya Iran na Washington
- Trump 'asita' baada ya kusikia tutalenga vituo vyote vya umeme mashariki ya kati - IRGC
- Wairani waakisi hatua ya Trump ya kuahirisha mashambulizi dhidi ya viwanda vya umeme
- Kauli ya Trump kuhusu kusitisha vita na Iran yaacha maswali muhimu bila majibu
- Trump asema mazungumzo yalifanyika kuhusu 'suluhisho kamili la uhasama' na Iran
- Wamiliki wa magari nchini Kenya waingiwa na wasiwasi kufuatia uhaba wa mafuta
- Mashambulizi ya Marekani na Israel yaendelea katika maeneo mbalimbali nchini Iran
- Uchumi wa dunia uko katika "tishio kubwa" kutokana na mgogoro wa Mlango-Bahari wa Hormuz: Mkuu wa IEA
- UN watoa onyo jipya la hali ya hewa huku El Niño ikikaribia
- Walowezi wa Israeli washambulia Wapalestina katika eneo linalokaliwa
- Siku ya ukomo ya Trump kwa Iran kufungua Mlango-Bahari wa Hormuz inakaribia
- Wakenya wanaopigana vita kwa niaba ya Urusi dhidi ya Ukraine kusamehewa
- 'Vitisho vinaimarisha umoja wetu' - Rais wa Iran
- Starmer na Trump wajadili umuhimu wa kufungua tena Mlango-Bahari wa Hormuz
Moja kwa moja
Na Asha Juma & Mariam Mjahid
