Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Israel yasema imewashambulia viongozi wakuu wa Hamas huku milipuko ikisikika huko Doha
Milipuko imesikika na moshi umeonekana ukipanda juu ya mji mkuu wa Qatar Doha, shirika la habari la AFP na ripoti ya Reuters.
Muhtasari
- Video yaonyesha jengo lililoharibiwa baada ya Israel kuwalenga viongozi wa Hamas nchini Qatar
- Mkuu wa Umoja wa Mataifa alaani 'ukiukaji mkubwa' wa Israel kwa mamlaka ya Qatar
- Ikulu ya White House imethibitisha kuwa iliarifiwa kuhusu shambulio la Israel
- Netanyahu alikuwa katika makao makuu ya shirika la usalama la Israel wakati wa shambulio hilo
- Maswali mazito kuhusu shambulio la Israel Qatar
- Harambee Stars yaicharaza bila jibu Ushelisheli
- Zaidi ya watu 20 waliuawa katika shambulio la Urusi huko Ukraine, Zelensky asema
- Zelensky: Putin anataka "kuichukua Donbass" ifikapo mwisho wa mwaka
- ICC yafungua kesi ya uhalifu wa kivita dhidi ya kiongozi wa waasi wa Uganda Joseph Kony
- Putin amtunuku Jenerali Gerasimov, mwanajeshi mkuu wa Urusi, medali ya 'ujasiri'
- Wabunge wa Marekani watoa 'kitabu cha siku ya kuzaliwa' cha Epstein chenye madai ya saini ya Trump
- Ufaransa katika mzozo mpya wa kisiasa baada ya wabunge kumtimua waziri mkuu
- Israel yafanya uvamizi viungani mwa miji ya na Homs na Latakia nchini Syria
Moja kwa moja
Na Dinah Gahamanyi