Michezo ya Olimpiki ya Wamaasai Kenya: Mamia yakusanyika kuwinda mbadala wa simba

Iliyochapishwa

Vijana wa Kimaasai nchini Kenya wamekusanyika pamoja kwa ajili ya mashindano ya michezo, yaliyobuniwa kama mbadala wa kuwinda simba - desturi ya kitamaduni ya kuingia utu uzima.

Mamia walichuana katika michezo mbalimbali katika maeneo ya chini ya Mlima Kilimanjaro, ikiwemo kurusha mikuki, riadha na kurukaruka.

Kwa vizazi na vizazi vijana wa Kimasai walitarajiwa kupigana na kuua simba kama sehemu ya utamaduni inayozingatia mabadiliko yao ya utu uzima.

Lakini baada ya idadi ya wanyama hao wakubwa kuanza kupungua barani Afrika, wanamazingira na wazee wa wa jamii hiyo walianzisha shindano lililoitwa Olimpiki ya Wamasai.

Maasai Warriors compete in a traditional high-jump competition

Chanzo cha picha, EPA

Maasai women wear their traditional attire to watch the games play out

Chanzo cha picha, EPA

A Maasai Moran falls after throwing a javelin

Chanzo cha picha, Reuters

Maasai warriors in their traditional attire sing as they warm up before the start of the games

Chanzo cha picha, EPA

A Maasai Moran lifts off the ground while competing in the Javelin competition

Chanzo cha picha, EPA

Spectators watch as a Maasai Moran throws a javelin

Chanzo cha picha, Reuters

Maasai spectators watch the sporting event from afar

Chanzo cha picha, EPA

A Maasai Woam has a go in the rungu (or Maasai traditional war-club) throwing competition

Chanzo cha picha, EPA