Vita vya Ukraine: 'Siko salama tena', mwezi mmoja wa vita nchini Ukraine

Iliyochapishwa

Vikosi vya Urusi vilivuka mpaka na kuingia Ukraine tarehe 24 Februari, na kuanzisha mzozo ambao umegharimu maelfu ya maisha. Tunaangazia matukio yaliyojiri kufikia sasa.