Vita vya Ukraine: 'Siko salama tena', mwezi mmoja wa vita nchini Ukraine

Maelezo ya video, Vita vya Ukraine: 'Siko salama tena': Mwezi mmoja wa vita nchini Ukraine
Iliyochapishwa

Vikosi vya Urusi vilivuka mpaka na kuingia Ukraine tarehe 24 Februari, na kuanzisha mzozo ambao umegharimu maelfu ya maisha. Tunaangazia matukio yaliyojiri kufikia sasa.