Mzozo wa Ukraine: Simulizi ya mwanafunzi mjamzito wa Nigeria aliyebaguliwa kwa kuwa mweusi, licha ya kuwa kudanganya kuwa mjamzito

Maelezo ya video, ‘ Walisema kama wewe ni mweusi, unapaswa kutembea’
Iliyochapishwa

Mwanafunzi Mnigeria anayesomea masomo ya udaktari Jessica Orakpo alikuwa anaishi katika mji wa magharibi mwa Ukraine wa Ternopil, lakini kutokana na uvamizi wa Urusi dhidi ya Ukraine alilazimika kuondoka nchini humo.

Ni miongoni mwa mamia ya maelfu ya watu wanaoondoka Ukraine, na mmoja wa Waafrika wanaoelezea ubaguzi wa rangi waliokabiliana nao kwenye mipaka ya nchi hiyo.

line

Simulizi za waafrika wengine Ukraine na Urusi

line