Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Wakati wengine wakihusisha Udi na imani potofu wengine ni fursa ya kujipatia kipato
Iliyochapishwa
Katika mfululizo wa makala kuhusu vijana walio chini ya miaka 30 tunaangazia vijana waliofanya vizuri na wanaoendelea kufanya vizuri katika teknolojia, siasa na kijamii kwa nchi za Afrika Mashariki na leo tunae Wadh-hat.
Wengine wakiona Udi kama biashara ya kimaskini sana kwa Bi. Wadh-hat ambaye ni mmiliki na muanzilishi wa kiwanda cha kutengeneza manukato ya asili kijulikanacho kama marashizanzibar ilikuwa ni fursa adhimu ya adhimu ya kuanzisha biashara ya manukato.
Mwandishi wa BBC Veronica Mapunda ametuandalia Habari hii
Video: Frank Mavura