Habari katika Picha: Rais Samia Suluhu Hassan akiongoza wengine kuweka mashada ya maua katika kaburi la Hayati Dkt. John Pombe Magufuli

Iliyochapishwa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwaongoza viongozi mballimbali wa serikali kuweka mashada ya maua kwenye kaburi la Hayati Rais Dkt. John Pombe Magufuli ambapo aliyezikwa jana Machi 26, 2021 nyumbani kwake Chato mkoani Geita.

Soma zaidi: