Matokeo ya Uchaguzi wa Tanzania 2020: Kassim Majaliwa ateuliwa kuchukuwa wadhfa wa waziri mkuu Tanzania

Iliyochapishwa

Waziri mkuu Kassim Majaliwa ameteuliwa kwa mara ya pili kuchukuwa wadhfa wa waziri mkuu nchini Tanzania