Matokeo ya uchaguzi Marekani 2020: Trump alivyodai kura 'zimeibwa'
Iliyochapishwa
Huku mamilioni ya kura halali zikiwa hazijamaliza kuhesabiwa nchini Marekani, Donald Trump amejitangazia ushindi. Akipendekeza ni "udanganyifu mkubwa kwa taifa letu", na kuongeza kuwa atapinga matokeo ya uchaguzi katika Mahakama ya Juu.

