Maporomoko ya maji yanayokwenda kinyumenyume

Iliyochapishwa

Upepo mkali na mvua kubwa pwani ya New South Wales Australia kumesababisha muonekano wa ajabu - maporomoko ya maji katika hifadhi ya taifa ya wanyama ya Royal yanakwenda kinyumenyume tofauti na ilivyozoeleka. Tazama: