Maporomoko ya maji yanayokwenda kinyumenyume

Maelezo ya video, Maporomoko ya maji yanayokwenda kinyume nyume
Iliyochapishwa

Upepo mkali na mvua kubwa pwani ya New South Wales Australia kumesababisha muonekano wa ajabu - maporomoko ya maji katika hifadhi ya taifa ya wanyama ya Royal yanakwenda kinyumenyume tofauti na ilivyozoeleka. Tazama: