Tetemeko la ardhi Tanzania: Raia wa Kenya na Tanzania wasimulia tetemeko la ardhi lililvyotokea

Iliyochapishwa

Raia wa Kenya na wenzao wa Tanzania wamesimulia BBC kuhusu walichoshuhudia wakati tetemeko la ardhi lenye nguvu za 6.0 katika vipimo vya Ritcher lilipopiga mji wa kibiashara nchini Tanzania Dar es Salaam.

Mawimbi ya tetemeko hilo yalisikika katika maeneo ya pwani ya Kenya na mji mkuu wa Nairobi siku ya Jumatano jioni.

Hakuna uharibifu ulioripotiwa.