Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Mchimbaji Saniniu Laizer auza jiwe jingine kwa serikali ya Tanzania
Iliyochapishwa
Mchimbaji wa madini ameuza jiwe la pili kwa ukubwa, lenye uzito wa kilo 6.33 lililochimbwa na mchimbaji mdogo Saniniu Laizer.