Mwanamama huyu alivyoiepuka hatari baada ya kuzongwa na dubu

Iliyochapishwa

Mwanamke huyu alichukua picha ya selfie wakati dubu akiwa anamnyemelea.

Lakini mwanamama huyu alibaki kimya akipiga picha mithili hakuna hatari iliyokuwa mbele yake.