Mwanamama huyu alivyoiepuka hatari baada ya kuzongwa na dubu

Maelezo ya video, Tazama mwanamama huyu alivyochukua selfie wakati akinyemelewa na dubu
Iliyochapishwa

Mwanamke huyu alichukua picha ya selfie wakati dubu akiwa anamnyemelea.

Lakini mwanamama huyu alibaki kimya akipiga picha mithili hakuna hatari iliyokuwa mbele yake.