Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Virusi vya corona: Kauli ya Rais wa Tanzania, John Magufuli inawaondolea hofu Watanzania?
Iliyochapishwa
Baadhi ya wakazi wa Dar es Salaam wanasema kuwa sasa hofu imeanza kupungua, tofauti na wakati mlipuko wa virusi vya corona ulipoingia nchini.