Watu wakimbia mafuriko mashariki mwa DRC

Iliyochapishwa

Mvua kubwa inayoendelea kunyesha eneo la kusini mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imesababisha mafuriko yaliyowaua makumi ya watu mjini wa Uvira.