Watu wakimbia mafuriko mashariki mwa DRC

Maelezo ya video, Watu wakimbia mafuriko mjini Uvira DRC
Iliyochapishwa

Mvua kubwa inayoendelea kunyesha eneo la kusini mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imesababisha mafuriko yaliyowaua makumi ya watu mjini wa Uvira.