Coronavirus: Israel inavyotumia intelijensia kuwakamata wagonjwa wanaotoroka hospitali

Iliyochapishwa

Polisi nchini Israel wanatumia teknolojia ya kiintelijensia kuwatafuta na kuwakamata watu wanaotoroka hospitalini baada ya kugundulika kuwa na virusi vya corona.