Tazama simulizi ya wanandoa ambapo mke aliambukizwa virusi vya corona

Iliyochapishwa

Virusi vya corona vimeenea kote duniani. Lakini katika mji wa Wuhan kitovu cha janga hili, kwa sasa maambukizi yameanza kupungua.

Virusi hivyo vilipolipuka mji wa Wuhan, wenye watu milioni 11 walifungiwa.

Tazama simulizi ya wanandoa ambapo mke aliambukizwa virusi hivi.