Mkanyagano katika shule ya Kakamega: Wazazi wa wanafunzi walioathirika na mkanyagano Kenya waomboleza

Maelezo ya video, Wazazi wa wanafunzi walioathirika na mkanyagano Kenya wazungumzia kisa hicho
Iliyochapishwa

Mazishi ya wanafunzi waliofariki kufuatia mkanyagano katika shule ya msingi ya Kakamega nchini Kenya yameanza.

Hatua hiyo inajiri baada ya wazazi wa wanafunzi walioathirika kuzungumzia mkasa huo.

Mkanyagano huo ulitokea katika shule ya upili ya Kakamega , kaskasini magharibi mwa Nairobi wakati ambapo wanafunzi hao walikuwa wakitoka shule