Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Scott Purcell aliishi mitaani kwa miaka 17 na sasa ni wakala wa mali isiyohamishika
Iliyochapishwa
Scott Purcell aliishi miaka 17 bila makazi katika mitaa wa mjini Washinton DC na sasa ni wakala wa mali isiyohamishika katika mji huo ambao ni moja ya miji iliyo ghali zaidi nchini Marekani. Anafahamu thamani ya nyumba zaidi ya wakala wengi, baada ya kulala katika benchi moja mtaani kwa miaka 17.