Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Maisha na umaarufu wa mchekeshaji MCA Tricky Kenya
Iliyochapishwa
Ulimwengu unaadhimisha siku ya kimataifa ya watoto wanaoishi mitaani. , mwandishi wa BBC Anthony Irungu amezungumza na mchekeshaji maarufu kutoka Kenya anayejulikana kwa jina la usanii 'MCA Tricky' kuhusu maisha yake mitaaani na jinsi anavyotumia umaarufu wake kuwasaidia vijana wengine mitaani.