Mke wa Mwandishi Azory Gwanda amesema ataendelea kumsubiri mumewe kwani hajakata tamaa

Iliyochapishwa

Mke wa Mwandishi Azory Gwanda amesema ataendelea kumsubiri mumewe. Ni mwaka wa pili sasa tangu mumewe alipopotea. Tangu tukio hilo mke wake amekuwa katika maisha yenye huzuni.