Mke wa Mwandishi Azory Gwanda amesema ataendelea kumsubiri mumewe kwani hajakata tamaa

Maelezo ya video, Mke wa Mwandishi Azory Gwanda amesema ataendelea kumsubiri mumewe kwani hajakata tamaa
Iliyochapishwa

Mke wa Mwandishi Azory Gwanda amesema ataendelea kumsubiri mumewe. Ni mwaka wa pili sasa tangu mumewe alipopotea. Tangu tukio hilo mke wake amekuwa katika maisha yenye huzuni.