Wakristo wa Jumuiya ya Walei DRC waandamana kupinga ufisadi

Iliyochapishwa

Wakristo wa Jumuiya ya Walei DRC wameandamana kupinga ufisadi na kudorora kwa mfumo wa sheria uliokithiri nchini humo