Msikiti Massalikul Jinaan Dakar: 'Mkubwa katika eneo zima la Afrika magharibi'

Iliyochapishwa

Tazama ndani ya msikiti wa Massalikul Jinaan katika mji mkuu wa Senegal Dakar.

Unadhaniwa kuwa msikiti mkubwa zaidi katika eneo zima la Afrika maghaibi na ulijengwa kwa gharama ya $32 milioni.