Aliyechorwa michoro mingi zaidi akatazwa kufunza
Iliyochapishwa
Mwanamume mmoja aliyechorwa michoro mingi zaidi ya tattoo nchini Ufaransa amesema ameambiwa hawezi kufundisha tena watoto wa shule ya chekechea baada ya mzazi kulalamika kuhusu muonekano wake. Sylvain Helaine ana michoro mwilini mwake, usoni mpaka ulimi, huku mboni zake zikiwa nyeusi kufuatia upasuaji wa macho.Tupe maoni yako bbcswahili.
