Akimbia mbio za mita tano licha ya saratani

Maelezo ya sauti, Akimbia mbio za mita tano licha ya kuwa na saratani ya mapafu
Iliyochapishwa

Mwanamke mmoja mwenye miaka 68 anaeugua saratani ya mapafu, amekimbia mbio za kilo mita tano za Race for life na kuchangisha pesa zitakazosaidia katika utafiti wa saratani katika eneo la Cornwall Uingereza. Tupe maoni yako BBC Swahili.