Cardi B aachana na mumewe

Iliyochapishwa

Mwanamziki Cardi B na mumewe Offset wametangaza rasmi kuvunja ndoa yao baada ya kuoana kwa miaka mitatu. Cardi B Maaruufu kwa kibao hiki cha bodak yellow, amesema Offset amekuwa na mahusiano nje ya ndoa zaidi ya mara moja na hakuna matumaini ya kutatua mzozo walio nao.