Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Je, shati la Lewis Hamilton lina ujumbe wa kisiasa?
Iliyochapishwa
Wakuu wa Formula 1 wanaangalia iwapo dereva machachari Muingereza Lewis Hamilton alivunja sheria za mchezo huo alipovaa tisheti yenye maandishi yaliyokua yakipinga uonevu wa polisi.. Tisheti ya Hamilton ilisomeka kuwa polisi aliyemuua Breonna Taylor akamatwe. Chama hicho kimesema hakijihusishi na masuala ya siasa kwa hivyo huenda Hamilton amekiuka kanuni za mchezo huo.